Kisika

Kisika (pia Kikrowe au Kimaumere) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasika kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kisika imehesabiwa kuwa watu 175,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisika iko katika kundi la Kibima-Lembata.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search